Bosi anayemnyanyasa Housegirl

AMLIGHT

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
1,140
Reaction score
843
Msaada hapa, nina bosi wangu kazni ambaya kwa siku anaweza piga simu hmu hata mara 6 kumwambia tu housegirl afanye hiki au kile, pia humtukana na kusema kuwa ni mchawi, hana akili, mchafu, na wakati mwngne kuwa anamharibia watoto wake.
Kuna cku alimpgia cm hyo dada hakupokea, akaapa akienda atampga hasa, na kamkataza kutoka nyumbani, kwamb muda wote akae nyumbani.
Ingawa pia anasema huyo hgirl n malaya na huleta wanaume palepale nyumbani.
Ukweli, siipendi tabia ya huyu bosi wangu, na nataka kumsaidia huyo hgirl wake (japo ukweli, cmfaham na cjawah mwona, lakn nahc tu kuwa ananyanyasika sana), nifanyaje, kuna popote naweza sema, akasaidiwa? Na, kuna uwezekano kuwa maneno tu yakamsaidia au mpk vithbtisho? Itakuwaje kama hgrl akasema huwa hanyanyaswi (wengne huvumilia, kwa sbb ya familia watokayo)..
Ila kiukweli, nahc yule hsgrl alinunuliwa cm ili atukanwe, achambwe na adhalilishwe kirahc zaid, co kwa ajili ya mawasiliano!
 
Toa taarifa Kituo cha Polisi kilicho jirani na anapoishi huyo Box wako make Boss hawezi kuwa na tabia hizo. Kitengo husika ni Dawati la jinsia, pia nadhani Afisa Ustawi anaweza kusaidia ufuatliajie. Ikishindikana tafuta namba za Global Pumbulishers hawa ni wazuri kwa kuuza Story kama hizo kesho tutasoma Headline front page " Kigongo anyanyasa House Gal kwa miaka...." Kumbe ni si Kigogo wala nini. Please do it now ili upate baraka za kumuokoa huyo Binti wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…