Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Matungiza

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
523
Reaction score
335
Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu.

Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo kabla ya kumfukuza kazi pamoja na kijana makatuni.

Bosi huyo kaendelea kuchafua kwa kumzalisha mtumishi wake bint Mstimu watoto wawili.

My take: Najua kuwa ni maisha yake binafsi lakini unatuumiza unapowazini Dada zetu na kuwatupa, umempotezea muda sana bint Embe.
 
Kama unajua nimaisha yake binafsi, na tatizo lako ni kwa dada zako, sema na dada zako waache kumshobokea.
 
Mbona yule Boss Many ndio kwanza kavuta kitu kibichi...kuna dhambi gani Msela akasubiri muda muafaka naye akavuta jiko lake? mbona bado mapema tu?

Alafu hakunaga kitu kinaitwa "kuchezea"....hao ni binadamu wenye akili zao timamu sio Wanasesere, sasa wanachezewa vipi?...nao huingia shambani kuvuna wakiwa na akili zao timamu ati...ni win win situation.
 
mbona kuna tetesi kwamba huyo bosi kabadili dini kuufata huo mstimu auchukue jumla?
 
mawinguni wamejaa wahuni watupu
Kama umeshindwa kuelewa hapo kadai ada shule uliyosoma haikua na mwalim Wa kiswahili
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
@ that age unamkuta bosi wa mawinguni anaimba, 'mke mwemaa, anatoka kwa Bwana, nimemwomba Mungu nangojea, mke mwema'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…