Tetesi: Bosi wa KQ ajiuzulu

Tetesi: Bosi wa KQ ajiuzulu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Beberu wa KQ mikosz ameamua kujiuzuru baada ya kupiga hela ndefu.
Shirika limewachwa bwege halina kiongozi
Screenshot_2019-05-24_200214.png
 
Acha niwafafanulie hawa #TeamKiingerezaKilikujaKwaMeli. Mikosz amepeana notisi kwamba atajiuzulu mwisho wa mwaka huu, Des. 31, 2019. Miezi mitano kabla ya muda wa mkataba wake na KQ kuisha.
 
Back
Top Bottom