maishakujipanga
Senior Member
- Feb 13, 2017
- 115
- 119
Mbongo tuHuyo muhindi nini?
Nikiusign ni sahihi, ni mkataba wa miaka miwiliHapo anakwepa kodi na michango ya nssf...
Ni kweli
Ni sahihi kama unakubaliana na huo unyonyajiNikiusign ni sahihi, ni mkataba wa miaka miwili
Kuitaja humu, labda nikiachishwa kazi ndo ntakuja na feedback zaidi kuwanusuru wengineNi kampuni gani hio ambayo inatumia mbinu ya kizamani hivo?
Mkataba wa miaka miwili sio mchezoKazi Zenyewe zilivyo ngumu kipindi hiki kubali tu mkuu, huku unaangalia utaratibu mwingine LA sivyo utakosa vyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni msaada wa kisheria.
Nimeajiliwa kampuni moja private.
Baada ya kufanya kazi muda mrefu bila kupewa mkataba, sasa juzi nikaletewa makataba lakini sikuuelewa kwa sababu upo tofauti na uhalisia.
Mfano.
Kabla ya mkataba nilikuwa nalipwa laki nne cash yote bila makato yoyote.
Ila baada ya mkataba unaonesha nalipwa laki 2 na nusu basic salary. Na hiyo 2.5 ndo makato yote ya serikari yanakatwa hapo.
Nilipoongea na bosi akasema nisign hiyo ya kwenye mkataba then pesa nyingine laki 1.5 nitakuwa napewa pembeni.
Je, hii ni sahii au sio sahii?
Bado nipo njiapanda nikubali kusign au nikatae kusign.
Ni kampuni gani hio ambayo inatumia mbinu ya kizamani hivo?
Ka sign utakufa njaa mtaani pagum Kama huna helaKuitaja humu, labda nikiachishwa kazi ndo ntakuja na feedback zaidi kuwanusuru wengine
Sign Kama Kuna matatizo mbeleni utajua huyo anakwepa pension yako ,anataka kila mwenz apeleke 20000 badala ya 40000 kijana fanya kazi Kama huna michongo mingine ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkataba wa miaka miwili sio mchezo