Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

kama umeweza kujiunga jf kwa uamuzi wako binafsi pasipo kushurutishwa na mtu awaye yeyote utakuwa na maamuzi sahihi! nakutakia maamuzi mema!
 
Dada nimefuatilia sana link yako hih me nlikua najua we ni he kumbe ni she/na kama ni she basi dadaangu au mamaangu'fanya yafuatayo,mweshimu mmeo kama umeolewa,mchumbaako kama aujaolewa,pia jieshimu we mwenyewe kama bdo ayo yote,mwambie sipo tayari kwa ayo mambo, na atakueshimu na ataanza kukuogopa,Tumsifu yesu Kristo,sema milele Amin
 

nimechannganya mambo,nilisoma kichwa cha abari vbya ,si unajua tena Safari Lager moto wake.
 

jamani vi2 vingine cyo lazima twisheni.
 
Dah game of chance mzee unacheza sana tu:nono: we maliza tu hili zoezi:yield:
 
mwambie wewe ni mluka ukuta tu huwezi kupiga side moja unatwanga kote kote tigoo
 

babu inaonyesha umekubuhu ktk anga hizi.ningekuwa katika situation ya jamaa,huu ndiyo ushauri ningechukua!
 
usithubutu kwani ajira yako ni nafasi za upendeleo au unaqualification zako
 
We lamba tu kama bwai,bwai bwana huachi muhuri hapo gonga kwa kwenda mbele meku!
 


Ubinadamu kazi kwelikweli, angekuwa ni dada ndo kaleta hapa mada kuwa bosi wake anamtaka yeye hamtaki na ameamua watumie usafiri wa ndege ili dreva asiende huko safari, nina imani wengi wenu hapa mngesema mkatalie anataka kukunyanyasa kama ni kazi akufukuze. Ila kwa vile ni boss wa kike ndo anamtaka huyu kijana Imeonekana ushamba kwa kijana kuonyesha kukataa. Kwa mtizamo wangu kutokana na mawozo ya wachangaiji , mwanaume huana haki ya kukataa kama mdada amekupenda?

Kaka kwa ushauri wangu kataa unless unampenda huyo boss wako. Umeowa au Una mchumba? Kama ndiyo, je haya mahusiano yako na bosi yatakuwaje ukiamua kutembea naye? Unadhani Utakuwa free kama ulivyokuwa mwanzo ukiamua kutembea naye? Unahatarisha mahusiano ya ndoa yako/kwa huyo G/F wako. Maana atakuganda kwelikweli na atataka akutumie Ipasavyo kama Serengeti boy wake......Kwa mkeo itajulikana tu na usikute boss hana mume ndo inapokuwa balaa zaidi.

Fungua macho ndugu.
 
Dogo ogopa unaelekea kubaya, bora upoteze hiyo job, god will provide. Look at JOSEPH AND POTIPHARS'S WIFE in the bible
Genesis: 39:1-23. Joseph was immensely blessed after avaiding this temptation. Be Blessed.

good mtumishi wetu
 
kuwa makini na fuata nafsi yako, maana kuwa na uhusiano na mtu usiyempenda haisaidii.acha kijidhalilisha kwa tamaa za mwili.kama ni kazi-mungu ndo anapanga, c huyo bosi wako maana naamini unaweza kupata penine. huyo ni shetani-kuwa mwangalifu
 
kuwa makini na fuata nafsi yako, maana kuwa na uhusiano na mtu usiyempenda haisaidii.acha kijidhalilisha kwa tamaa za mwili.kama ni kazi-mungu ndo anapanga, c huyo bosi wako maana naamini unaweza kupata penine. huyo ni shetani-kuwa mwangalifu


nimekuelewa mkuu. maneno ya wana jf yamenipa ujasiri. come what comes, niliingia kwa usaili siyo mbeleko. nitamwambia SIWEZI/SITAKI bila kuumauma maneno.
 

so gogotamu is cheating @ us, she produced this post as if she is a "he"?!. Any way this is not the rightway to raise the # of posts.
 
ahaa yaani kuwa nice n friendly kwako umeona kuwa nakutaka sio eeh.sikutaki wala nini na itabidi nisafiri na mtu mwingine maana hujui wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…