Bosi Wangu

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..
[emoji38][emoji38]
Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallah...!! [emoji108]sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka[emoji85]kumbe picha ya Sokwe..!! [emoji38][emoji38] basi tokea jana mpaka leo bado ananitafuta [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


________////////______////////______///////________
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umekosea sehemu moja tu..serengeti hakuna sokwe. Comedy should test reality. Nimeshindwa kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…