babuwaloliondo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 378
- 174
\Sijaona msingi wa swali lako,tatizo ni mpenzi wako kutongozwa au nini?
Mpe kikombe huyo..... Bosi hadi kitandani kwangu? No....
Ya kawaida makazini,mpe ushauri nasaha.
Ndio hilo, ila zaidi ni kuwa imenichukua muda kuamini, maana bosi ni mshikaji, lakini napata shida hata kufanya kazi nae.Sijaona msingi wa swali lako,tatizo ni mpenzi wako kutongozwa au nini?

Ndio hilo, ila zaidi ni kuwa imenichukua muda kuamini, maana bisi ni mshikaji, lakini napata shida hata kufanya kazi nae.

Ndio naomba ushauri wenu?

Kama mpenzi wako katongozwa how is that become your problem?Huwezi kuzuia kumegwa achilia mbali kutongozwa!Acha mawazo kwenye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako,hautakuwa na uwezo wa kumzuia au kumpangia namna ya kutumia mwili wake,na hilo sio suala lako,ukienda kinyume achana nae!Hilo ndo unaweza kulifanya!

Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee!!!nawe fanya hivyo kwa ubani wake