Boss kukufokea

Aisee Mimi kufokewa na mtu hata kama ni Boss ananilipa mshahara huwa sikubali hata kidogo. Kiasili Mimi ni mpole na muelewa sana lakini kudhalilishwa au kufokewa na mtu huwa sikubali kabisa.
1. Nilikuwa kwenye kampuni fulani huko Zanzibar Boss akawa ananiletea manenno ya kibaguzi nilichoifanyia ile kampuni aisee mbona alishuka chini na Nikamweleza maneno yako unayoniongelea ingekua ni wewe ndio unaambiwa ungejisikia vipi? Alinyooka na akawa swahiba hasa ukizingatia yeye ni CUF na Mimi ni CDM tulienda Sawa.
2. Na hawa wanaojifanya maboss na vihela vyao hapa mjini aisee huwa wakiniletea mambo meusi huwa nawapa makavu bila kumungunya maneno.
Kifupi Mimi kufokewa huwa sipendi na kwanza sikubali kabisa.
 

Thanks for advice
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arusha vichaa walianza zamani........
Boss kamfokea supervisor mbele ya umati wa watu......🙄
Watu wakamshauri supervisor wakati wa kutoka mpige mtama/ngwala.....uwanjani mbele za watu.......
Wakati wa kutoka umefika bosi anakatiza uwanjani kwenda kupanda pijo.....jamaa kamjia kwa nyuma..." kata funua".....watu eeeeeerh🤣🤣🤣🤣🤣
Kila boss akinyanyuka anakula mtama watu eeeeeh..🤣🤣🤣🤣
Hata mgambo wa getini hawakumsaidia.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aise labda kama siyo Supervisor wake au mtu ambaye amemzidi cheo,maana unaweza jikuta kibarua kimeota nyashi kwa utovu wa nidhamu tu,ambapo ungeweza kukausha tu na usipungukiwe chochote kwa wakati huo,Muda mwingine ukimya ni bora kuliko maneno
Kwa kifupi jamaa kazi ilikwisha.
Lakini zamani hizo Arusha unatoka kiwanda hiki unaingia hiki....kazi haikuwa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…