WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 58
tunakawaida kuwaita wakuu wetu wa kazi maofisini boss aidha katika kumwita au kusalimiana nae, je tutumie neno gani fasaha la kiswahili badala ya neno boss?
mkuu au mkubwa
Boss-Bosi
Camera-Kamera
Shirt-Shati
nadhani bosi inakubalika,tuna maneno mengi hatuna katika msamiati bali *tunayatoroha* kutoka kwenye lugha zingine especially english and arab
ur rightni kutoroha au kutohoa?