duh, kweli nimeadimika kama chura ya snekiWapi wewe? Umekuwa adimu kama ma2c ya nyoka![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umesahau parking fees, unless unataka kupaki nyumbani kila jioni ma teja yanarudisha gari nyumbani na asubuhi yanachukua, mwishowe unakuja kukabwa! Dereva na konda wake mara nyingine wanaugua anakuomba hela ya kutibiwa, una suspect kabisa huwa anakupiga hela yako mara nyingi tu lakini ukimwangalia masikini amepigikaaaaa.... na unajua kabisa you should really be providing him with health insurance kwa sababu kazini kwako wewe unapewa health benefits, unampa hela ya kutibiwa masikini ya Mungu, kuna ma uniform costs na kuna ma vituo vingine gari inalipia kila ikiingia, Mbagala Mwisho kwa mfano, .... hizo zote ni added costs...-Analipa wauza spare
-Analipa mateja/wapiga debe
-Analipa traffic police
-Analipa utingo
-Amalizie dereva
-Analipa shanta
-Analipa mafundi
-Analipa manispaa
-Analipa mamlaka ya mapato
-Analipa EWURA
Halafu anategemea kufanya biashara na kubaki na faida...liheshimu daladala siku likigoma watakaoathitika na kuumia ni wengi tena kwa foleni [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji30] [emoji22] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
-
Ni uwekezaji wenye headache kubwa sana halafu lazima uwe katili au uwe na rohombaya, ukiwa nyoronyoro utaishia mabuaUmesahau parking fees, unless unataka kupaki nyumbani kila jioni ma teja yanarudisha gari nyumbani na asubuhi yanachukua, mwishowe unakuja kukabwa! Dereva na konda wake mara nyingine wanaugua anakuomba hela ya kutibiwa, una suspect kabisa huwa anakupiga hela yako mara nyingi tu lakini ukimwangalia masikini amepigikaaaaa.... na unajua kabisa you should really be providing him with health insurance kwa sababu kazini kwako wewe unapewa health benefits, unampa hela ya kutibiwa masikini ya Mungu, kuna ma uniform costs na kuna ma vituo vingine gari inalipia kila ikiingia, Mbagala Mwisho kwa mfano, .... hizo zote ni added costs...
Nilikaa nikajiuliza, hivi helaangu ya ku invest kwenye ma dala dala ningekaa nikaila taratibu na vitoto vyangu ingeisha kabla ya mtu ambae ameitia kwenye dala dala, nikaona to hell na vyombo vya moto....