Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina


Binamu taratibu bhana...
 
Kuna vitu havipaswi kuongea public babu tale leo nimemuona ----. AngeAcha tu anyway Diamond yy kajibu vzr.

Alafu hili tatizo la watu kuropoka public mbona linazidi shika kasi.

Au bange?
 
Kuna show moja huyo dogo na dancers wake walivua nguo na kuonyesha makalio wakiwa jukwaani nadhani ilikua ni sehemu ya mashatri ya kalumanzila.
 
Kama tu Diamond hajihusishi na charms. Lakin kama naye chama moja. Hawawezi tengana.

Tatizo lipo kwenye kauli, na kumbuka mmoja ametamka kuamini ama kushiriki na mwingine amekana na kaenda mbali zaidi kwa kutoa hata mifano ya kwenye vitabu vitakatifu.
Utata utakao leta mgongano wa mawazo ni kauli mbili tofauti toka kwa Tale na Diamond
 
Alafu hili tatizo la watu kuropoka public mbona linazidi shika kasi.

Au bange?
Sijui shida nini" tatizo watu hawafikirii kabla ya kusema ila wanafikiri baada ya kusema.
 

Halafu kuna watu humu wanabwabwaja kuwa diamond management is so smart compared to other artists

I always say management my a.ss!
 

Ulitegemea Diamond angesema anatumia ndumba kwa radio? Never.
 
Kuna show moja huyo dogo na dancers wake walivua nguo na kuonyesha makalio wakiwa jukwaani nadhani ilikua ni sehemu ya mashatri ya kalumanzila.

Ile ilikua stunt tu brother" ni ili atake attention za watu Tale kusema anabeliev hizo mambo usimuhusishe na mondi. Kuna uhuru wa kuabudu nchini Belive wat u think its ryt to believe iz up on You. Tale tu alicho feli ni kuropoka anacho amini ambao watu weng wanao amini hivyo huficha na yy ni manager wa msanii hakutakiwa kufanya hivo coz atajenga image mbaya kwa msanii wake. Elimu nayo inasaidia kweli warumi
 
Last edited by a moderator:
Kwa kauli hii ya Babu Tale, tutarajie kusikia tofauti kati ya yeye na Diamond siku za karibuni. Naamini tutasikia wameanza kugombana, na sababu kubwa itakua kauli hii tata kutafsiriwa na mashabiki pia watanzania

Hawawezi kufika huko hata kidogo. Timu ya WCB inajielewa na inakumbana na misukosuko mikubwa kuliko hata hii kauli ya Babu Tale. Ni watu wanaojua kukiri mapungufu pale wanapokosea. Hadi wamefika hapa walipo ni kwa sababu ya kuvumiliana ikiwa ni pamoja na hujuma mbalimbali wanazofanyiwa. Hili ni dogo kwao, litapita na yataisha.
 

Na hapo huwezi kamwe kuwatenganisha kamwe mana ni MTU na manager wake wanajuana vizuri tu. Kwahyo kauli haihitaji akili kubwa kuekewa mana birds of the same feathers flock together.
Ukweli gani aliokua ana uheshimu angekataa kujibu hilo swali. Ka hayo mambo ana practices ataishia pabaya.
 
Washirikina oyeeeeeee??? Naona wachawi wanaumbuana hadharani mwaka huu hahahah

Hahaha... Tu waache watu na imani zao.... Mie mambo ya imani huna naona ni kiza kinene.... Watu wana mambo mazito sana mioyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…