Leo nilienda ofisi moja kununua bidhaa, cha ajabu nilikuta wafanyakazi wamefungiwa kwa nje na kufuri juu. Boss ametoka (mchina) anaamini wanaweza kuiba kitu na kukitorosha.
Cha ajabu wafanyakazi wale wanaonekana kuzoea kabisa hilo swala. Wanasema linajitokeza mara kwa mara.
Nilikaa hadi boss wao aliporudi. Sikumuuliza kitu maana nilihitaji discount nikasema nisije kunyimwa😂
Serikali inapaswa kufatilia maisha ya wafanyakazi sekta binafsi. Ni changamoto Sana. Unakuta pia muajiri haruhusu muajiriwa wake awe kwenye chama chochote cha wafanyakazi.