Wabongo ni wezi ni wezi sana naunga mkono hoja.Leo nilienda ofisi moja kununua bidhaa, cha ajabu nilikuta wafanyakazi wamefungiwa kwa nje na kufuri juu. Boss ametoka (mchina) anaamini wanaweza kuiba kitu na kukitorosha.
Cha ajabu wafanyakazi wale wanaonekana kuzoea kabisa hilo swala. Wanasema linajitokeza mara kwa mara.
Nilikaa hadi boss wao aliporudi. Sikumuuliza kitu maana nilihitaji discount nikasema nisije kunyimwa😂
Serikali inapaswa kufatilia maisha ya wafanyakazi sekta binafsi. Ni changamoto Sana. Unakuta pia muajiri haruhusu muajiriwa wake awe kwenye chama chochote cha wafanyakazi.
Too general. Hata mtukufu Daktari Sa100 naye ni mwizi kweli we dogo? Hebu niombe msamaha kwa kumjumuisha mtukufu rahis wote. Pia, utubie kwa kumkosea mtukufu rahis.Wabongo ni wezi ni wezi sana naunga mkonk hoja.
Mbongo unamwajiri duka la dawa kumbe ana dawa zake anauza wewe zako zadoda. Unadhani biashara haiendi kumbe wewe walipa frem kodi na mshahara jui lakini anauza za kwake.
Wizi ndo usiseme, wabongo hawana huruma kabisa.
Utachukiwa bure na hao wafanyakazi na kuwa adui yao, usimtetee mtanzania utajijengea uhasama kwani kila utakapofika kiwandani hapo watakukimbia.Leo nilienda ofisi moja kununua bidhaa, cha ajabu nilikuta wafanyakazi wamefungiwa kwa nje na kufuri juu. Boss ametoka (mchina) anaamini wanaweza kuiba kitu na kukitorosha.
Cha ajabu wafanyakazi wale wanaonekana kuzoea kabisa hilo swala. Wanasema linajitokeza mara kwa mara.
Nilikaa hadi boss wao aliporudi. Sikumuuliza kitu maana nilihitaji discount nikasema nisije kunyimwa😂
Serikali inapaswa kufatilia maisha ya wafanyakazi sekta binafsi. Ni changamoto Sana. Unakuta pia muajiri haruhusu muajiriwa wake awe kwenye chama chochote cha wafanyakazi.
Sijamtaja mtukufu.Too general. Hata mtukufu Daktari Sa100 naye ni mwizi kweli we dogo? Hebu niombe msamaha kwa kumjumuisha mtukufu rahis wote. Pia, utubie kwa kumkosea mtukufu rahis.
Unaposema watanzania ni wezi umemtaja kwa sababu naye ni mtanzania vinginevyo useme ni mzenj anayekolonisha Danganyika.Sijamtaja mtukufu.
Ila wabongo ni wezi na tunatukuza wizi ndio maana utasikia tunasema, yukl tra, dah huyo ashatoboa. Maana tunawaza ataiba.
Unasikia nikipata kazi pale nitapiga ela kinoma.
Hata mtu akiwa na cheo kama waziria halafu awe na maisha ya kawaida tunashangaa kwanini hakuiba.
Wewe ndiye huyo mchina?..Lini, wapi, sababu, ushahidi, uliwahoji, walilalamika, ulimhoji na ukajua hayo unayosema, umetunga, na umegundua udhaifu wako?
Wao wafanyakazi hawakulalamika na kwao sio tukio geni. Mimi ndie niliona geni. Hivyo hapakuwa na sababu ya msingi Sana Mimi kumuhoji yule jamaa kwa maana wale wafanyakazi wamekubaliana na mazingira husikaLini, wapi, sababu, ushahidi, uliwahoji, walilalamika, ulimhoji na ukajua hayo unayosema, umetunga, na umegundua udhaifu wako?
🤣🤣🤣Wewe ndiye huyo mchina?..
Duh aiseee ni hatari sana hasa yakitokea majanga ya asili
Unadhani hawaibi ?😂 Boss anawajua watu wakeLeo nilienda ofisi moja kununua bidhaa, cha ajabu nilikuta wafanyakazi wamefungiwa kwa nje na kufuri juu. Boss ametoka (mchina) anaamini wanaweza kuiba kitu na kukitorosha.