Boss wa Lake FM Aanzisha kipindi katika Clouds TV.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Habari zenu wakuu,Natumai mko salama...Direct to e' Point,Yule Mjasiriamali msomi wa mambo ya TV Productions na Mrembo ambae pia ni Boss/CEO wa Redio Lake FM 102.5 Iliyopo Mwanza Tanzania Mrs.Doreen P.Noni ameanzisha kipindi cha TV ambacho kinachoitwa 'Tena na Tena/Again & Again' Ambacho kimeanza leo kuruka Clouds TV pale CMG,,Akiongea leo kwenye XXL ya Clouds FM amesema Content ya kipindi ni Watu mbalimbali waliofanikiwa katika maisha au Career zao kuzungumzia walifikaje hapo walipo pamoja na Changamoto walizokutana nazo,Pia amesema kipindi kitaanza na Makoye wa MakJuice ambae ndo atakua mgeni mfunguzi wa kipindi hiki..Mrembo huyu ambae kasema hayuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote amekua ni Mtu simple ambae anatoa ushauri na mawazo juu ya watu tofautitofauti,,Issue yake imenifundisha kitu kimoja kwamba'Hupaswi kuridhika na sehemu uliyopo hata kama ni kubwa kivipi'.
@ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

  • Doreen.jpg
    25.3 KB · Views: 59
  • Noni.jpg
    24.9 KB · Views: 58
  • lake.JPG
    12.1 KB · Views: 52
Baati yake. Kamkosa Ruge
 
Kuwa na kipindi katika kituo cha TV sio lazima uwe mwajiriwa wa hapo mkuu!
 
Huko kwenye tv hana jipya.....eatv walishamaliza kila kitu sasa ivi ni marudio tu na kubadili majina ya vipindi
 
Niliona Baghdad analalamika kaibiwa idea ya hii show
 
Sijawahi kujua ni kwanini 90% ya wabongo hua wanashindwa kuliandika neno career kwa usahihi wake wengine hufanya makosa na kuandika "carrier" wakimaanisha "career" hahahaha....
 
Sijawahi kujua ni kwanini 90% ya wabongo hua wanashindwa kuliandika neno career kwa usahihi wake wengine hufanya makosa na kuandika "carrier" wakimaanisha "career" hahahaha....
Ni kama behind the scene. Inaandikwa behind the seen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…