Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Mkuu hii dunia hatuko huru toka enzi na enzi.Kuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora. Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na mahakama yenyewe. Huko mbele wahalifu watajifungua kwenye kichaka cha DPP kutofikisha mahakama ama kufutiwa mashitaka. Judge mkuu amekuwa celebrate ndani ya mhimili wa mahakama huku DPP ndiyo akiwa na uwezo wa kuamua nani akae rumande, nani atoke nani ashitakiwe hata kama kwa kuonewa
Mimi nilitoa msimo wangu juu ya dppKuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora.
Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na mahakama yenyewe.
Huko mbele wahalifu watajifungua kwenye kichaka cha DPP kutofikisha mahakama ama kufutiwa mashitaka.
Judge mkuu amekuwa celebrate ndani ya mhimili wa mahakama huku DPP ndiyo akiwa na uwezo wa kuamua nani akae rumande, nani atoke nani ashitakiwe hata kama kwa kuonewa.
rekebishacelebrate
Hata mahakamani tunasikia tunasubiri uamuzi wa DPP kama kesi ianze au usitishwe, lakini pia utasikia DPP ameona hakuna haja ya kuendelea na shauri hili, mara utasikia mahakama imemwachia mtuhumiwa lakini alikamatwa tena kwa maelekezo ya DPP.rekebisha
pili DPP ndiye anayetoa kibali kuwa hili peleka mahakamani, ili acha... (kwenye jinai)
sheria inaruhusu hivyoHata mahakamani tunasikia tunasubiri uamuzi wa DPP kama kesi ianze au usitishwe, lakini pia utasikia DPP ameona hakuna haja ya kuendelea na shauri hili, mara utasikia mahakama imemwachia mtuhumiwa lakini alikamatwa tena kwa maelekezo ya DPP.
| Kipengele | Jaji Mkuu | DPP |
| Mamlaka kuu | Mahakama (Judiciary) | Mashtaka ya jinai (Prosecution) |
| Kazi kuu | Kusimamia utoaji wa haki | Kuendesha mashitaka |
| Anamwakilisha nani? | Mhimili wa mahakama | Serikali |
| Anaweza kumwamuru nani? | Majaji wa chini yake | Waendesha mashitaka (State attorneys) |
| Anaweza kusimamisha kesi? | Ndio, kwa mujibu wa sheria | Ndio, kwa mamlaka yake |
Mkuu, tatizo mhimili moja umejichimbia katika mingine miwili, kiasi kwamba inakosa "check & balance" na kugeuka kuwa matawi yenye utiifu kwa maslahi ya huo mmoja mkuu na wenye nguvu.Kuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora.
Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na mahakama yenyewe.
Huko mbele wahalifu watajifungua kwenye kichaka cha DPP kutofikisha mahakama ama kufutiwa mashitaka.
Judge mkuu amekuwa celebrate ndani ya mhimili wa mahakama huku DPP ndiyo akiwa na uwezo wa kuamua nani akae rumande, nani atoke nani ashitakiwe hata kama kwa kuonewa.
We kwl ni km taahira, rudi darasani km huelewi siyo kuja kubwabwaja upuuzi humuKuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora.
Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na mahakama yenyewe.
Huko mbele wahalifu watajifungua kwenye kichaka cha DPP kutofikisha mahakama ama kufutiwa mashitaka.
Judge mkuu amekuwa celebrate ndani ya mhimili wa mahakama huku DPP ndiyo akiwa na uwezo wa kuamua nani akae rumande, nani atoke nani ashitakiwe hata kama kwa kuonewa.
Mkuu acha mambo ya kutukana ovyo, sasa kosa ni lipi mkuu nieleweshe tu kwa upole jamaa yangu.We kwl ni km taahira, rudi darasani km huelewi siyo kuja kubwabwaja upuuzi humu
DPP is not above the law, kuna utaratibu wa kupinga maamuzi yake kama unaona haki haijatendeka (Judicial review) na kufungua kesi, mahakama ina uwezo wa kubadilisha uamuzi wa DPPKuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora.