Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Hapana mkuu lakini nimefanya uchunguzi nimeambiwa unaweza kupata bila shida,Una account ya Bolt na Uber?
Utafanikiwa mkuu. JF kuna watu wana magari najua watakuunganisha. Be humble na patient.Hapana mkuu lakini nimefanya uchunguzi nimeambiwa unaweza kupata bila shida,
Nilichokifanya ni kurequest bolt ya Gari alafu nikaanza kumuuliza maswali juu ya Kazi hii akanipa majibu ya kuridhisha kabisa.
Baada ya mwezi nikarequest Tena Kwa maswali ya kujiridhisha,kwahiyo hiyo hapana Shaka Ni Mimi utayari wangu tu mkuu.
Asante kaka Kwa kunipa Moyo.Utafanikiwa mkuu. JF kuna watu wana magari najua watakuunganisha. Be humble na patient.
NawasubiriNgoja waje
Napokea Dua hiiGari umepata tayari kabla yawiki hii kuisha sema
Napokea dua hii👈
Hakika - Mungu amfanyie njia apate hitaji lake.Huku tupo pamoja kazi utapata..
Huu Uzi upo deep sanaMkuu natumai kutimia kwa hitaji lako...
Ila uendeleapo kutafuta, pitia Huu uzi hapa. NB: ukisoma eps zote itapendeza la sivyo, hakikisha angalau unapitia epsode 1 Hadi ya 10, utapata mwongozo wa hii biashara