CAPABLE GOD
JF-Expert Member
- Dec 5, 2020
- 258
- 278
Hakika mkuuHuu Uzi upo deep sana
Je ukiachana na uber/bolt unaweza kuajiriwa ukawa unamuendesha MTU /boss Kwa 600KWakuu bado sijapata Gari ya bolt.
Mkuu kama nafasi ipo tusaidiane,.Je ukiachana na uber/bolt unaweza kuajiriwa ukawa unamuendesha MTU /boss Kwa 600K
Ila posho za kula mchana , na chai unapata
Nipigie MkuuJe ukiachana na uber/bolt unaweza kuajiriwa ukawa unamuendesha MTU /boss Kwa 600K
Ila posho za kula mchana , na chai unapata
Asante brother Kwa Moyo huoMkuu nakushauri usikate tamaa, kama ni ndoto yako itatimia tu
Shukran mkuu Mimi nipo vitani Kwa Sasa.Uwanja wa vita huu tusirudi nyuma Hadi ushindi upatikane.Kama una familia na bado mambo yako hayajakaa sawa achana na hiyo kazi kiongozi ni mateso makubwa ...kupelekea mtu hesabu ni jambo ngumu wengi wanaofanya kazi hizo vijana wa nyumbani wahawana majukumu au familia wengine ni kazi ya ziada tu au ni magari yao... kama utaamua kuchukua gari basi bora iwe ina gesi inayotumia gesi na iwe kati ya hizo gari ist_raum_rumion_porte_sienta au zinazofanana na hizo na hesabu iwe kati ya 150 mpk 120k per week na boss akupe gari ikiwa full tank mafuta na gesi pia uwe na akaunti zote pendant haswa bolt na uber ziwe active ....UNAWEZA IONA HELA ...ni kazi nzuri lkn inahitaji kujituma na kupambana sana tena sana mzee usiku na mchana risk na hatari ni nyingi sana aaiisee na traffic wetu pia usisahu na wapo kazin kutonyonya ..MUNGU AKUTANGULIE
Hujaweka mawasiliano yako mkuuJe ukiachana na uber/bolt unaweza kuajiriwa ukawa unamuendesha MTU /boss Kwa 600K
Ila posho za kula mchana , na chai unapata