Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Shin=gongo & Co.
 
Twende basi Global Publishers tuchukue mwandishi wa habari, tumfanyizie Boss ili uwe top kabisa; waonaje? LOL


teh teh teh. nakuja mshahara bei gani? Alafu Kaunga nimekuota, kama upo kama nilivyokuota. mashallah!
 
teh teh teh. nakuja mshahara bei gani? Alafu Kaunga nimekuota, kama upo kama nilivyokuota. mashallah!

Ha ha ha! Uliota unanifanya nini? LOL
Ehe describe kidogo nitasema u r right, wrong au katikati!
 
Kwani inasoma geji? mbona ilikuwa rahisi tu mumalizane bila kumleta huku kwa Pilato?

PakaJimmy sio wote nimagreti thinkaz. nyumbani kwa magreti thinkaz hapa najua sitakusa jibu.
 
Last edited by a moderator:
RUBERTS Mungu anasema anamsaidia anaejisaidia. maneno pakee hayatoshi,

nipe ni ujuzi gani nitumie ile Mungu nae anikubali na kunisaidia.

Wala huna sababu ya kuwaza sana. Just say, Mungu naomba uniepushe na jaribu hili. Nakutegemea wewe kwa maisha yangu, na sio binadamu. Mwambie Mungu aendelee kukupa amani kazini. Kisha huyo boss akikuita tena wewe mwambie bado unatafakari maana jambo hilo sio la kukurupuka. Kwa taarifa yako hakuna maandiko yoyote yanayosema Mungu alisema jisaidie kwanza na yeye atakusaidia. Hiyo ni slogan ya Ibilisi, ili usimtegemee Mungu kwa akili zako zote.
 
Ha ha ha! Uliota unanifanya nini? LOL
Ehe describe kidogo nitasema u r right, wrong au katikati!


teh teh teh. Shosti ulitaka niwe nakuranya nini? mie niliota tu navutiwa na

wewe kwa pozi zako wakati unaoga. labda uniruhusur ni describe pozi na mwili wako.
 
Kazi ipo na boss akipata ataanzisha kajumba kadogo ,hivyo ujue sio anataka kupita la hasha anataka ajenge kibanda!!!swali zuri pia kama una ndoa ?au la!!mtego wa imani na mtego wa kimwili na mtego wa kimaisha!!kaziii kweli kweli
 


:amen::amen::amen: Sante kwa ushauri wako mahiri Ruberts, ila kusema kweli siamini itafanya kazi. ila nitajaribu.
 

Pole dada yangu hiyo ni changamoto kubwa sana inayowakumba kina dada katika ofisi nyingi lakini kuishinda changamoto kama hiyo sio kukubaliana na anachotaka,inaonekana boss wako angekuwa anavutia wala usingelifikisha jambo hili hapa jamvini,mimi nakushauri usikubaliane na rushwa ya ngono anayohitaji boss wako cha kufanya wasiliana na hawa jamaa wa takukuru huyo boss tunamkamata mara moja kwa rushwa ya ngono na itakuwa mwisho wake na wewe utabaki salama.
 
mweeee mie nilijua pesa, kuna mtu hapendi pesa?


Yaani we subordinate unafurahia mshahara ddnt you think kwamba huyo BOSS hawezi kuwa na shida ya pesa...............tumia pie kama pie 22/7 au 3.14 hapo hesabu itakwisha laaa sivyo REMAINDER THEOREM...........rushwa ni rushwa tu......ulitaka toa pesa yeye anataka mwili huo
 
:A S-confused1:. hujaniambia nifanye nini kuweza epuka hicho kikombe.
Honestly never do anything which you dont want to do au ambacho uta-regret later.., pili to sell yourself short inaweza kupelekea heshima yako kwake kupungua.., kwahio endelea kuwa na msimamo (so long as he wont cross the line na kutaka kukubaka) then tell up straight up kwamba you are not interested and he should not mix business and personal issues.., kuwa mkali atakuheshimu.., jirahisishe na atakudharau na mwisho wa siku habari zinaweza kuanza kuendea ofisini kwamba wewe ni chakula cha boss... (after all hakuna siri ya watu wawili)
 

Nenda Takukuru wamlengeshe kama walivyomlengesha yule boss wa mwanza...akome kudai ....kama fadhila...i can imagine boss jitambi hiloooo,kupanda ngazi tu issue,anahema sembuse chezo hilo ataliweza kweliiii ht ungempa?hao manjangu wa Takukuru ndi dawa yAke
 
Erotica, wakati ukifikiria cha kufanya juu ya huyo boss
Naomba unipe kwanza zile laki 5 ulimpakwenye bahasha
maana hazipo tena in your budget, sio rizki yako tena...
 
Last edited by a moderator:

manyusi naona umeelewa dileme niliyopo. nitafanyia kazi na kumuomba Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…