Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.


Kinchakuli hivi wewe hujui viashiria vya anaye weza game na asiyeweza? Mbona iko wazi kabitha! teh teh teh
 
Last edited by a moderator:

Kazi kweli kweli, ingawa sio mchangiaji sana lakini huwa navutiwa sana na mada zako. na kwa hili una bonge la mtego ukimpa na akanogewa atahitaji tene na tena, na akiomba ukamnyima atakutishia kukufuza kazi, kwa kifupi utakuwa mtumwa wa ngono na hasa ukizingatia umesha sema hakuvutii. Mtoto bora upate kidogo uwe huru kuliko kupata vingi ukawa mtumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…