T tzvicto.2014 New Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2 Reaction score 2 Aug 13, 2025 #1 Wadau, hivi karibuni nimeshuhudia changamoto kubwa ya fedha za sarafu hasa za Tshs 200, 100 na 50. Biashara nyingi sasa hivi ni ugomvi kutorudishiwa chenji kwasababu ya kutokuwepo na sarafu. Binafsi nimefuatilia maduka makubwa hadi sasa yanadiriki kujaza pipi na big G kwenye madroo ya fedha ambazo hutumika kama chenji Nimeshajaribu kuomba sarafu mabenki ila wao pia hawana Je, BoT wanaweza kufafanua hii changamoto kulikoni? Kusema kweli ni kero kwenda dukani na kurudishiwa pipi au big G ambazo mtu hauzihitaji. BoT tufafanulieni hii changamoto ni kero kwa wananchi.
Wadau, hivi karibuni nimeshuhudia changamoto kubwa ya fedha za sarafu hasa za Tshs 200, 100 na 50. Biashara nyingi sasa hivi ni ugomvi kutorudishiwa chenji kwasababu ya kutokuwepo na sarafu. Binafsi nimefuatilia maduka makubwa hadi sasa yanadiriki kujaza pipi na big G kwenye madroo ya fedha ambazo hutumika kama chenji Nimeshajaribu kuomba sarafu mabenki ila wao pia hawana Je, BoT wanaweza kufafanua hii changamoto kulikoni? Kusema kweli ni kero kwenda dukani na kurudishiwa pipi au big G ambazo mtu hauzihitaji. BoT tufafanulieni hii changamoto ni kero kwa wananchi.
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,929 Reaction score 33,764 Aug 13, 2025 #2 Labda zimeanza kupoteza thamani hivyo wanaanza kuziondoa mtaani
Pro_active personnel Member Joined Aug 12, 2025 Posts 7 Reaction score 4 Aug 13, 2025 #3 Ni kweli ila hi itakua sawa mkuu