Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Kwamba sisi tukujadili Mshana jr Uchumi tumwachie Dr Mwigulu PhD 😄😄
Matatizo ya kidunia yaani global headwinds yanakuaje matatizo ya mtu binafsi?bila kumuondoa huyu mkoloni mweusi, hakuna siku itakayokuwa nafuu labda siku ya kufa tu
HakikaHapo kwenye 11%,
Za kuambiwa, changanya na zako!!!