BoT hit by another mysterious cash loss

Yaani mibilioni inakuja halafu hamna mtu wa kuichukua kwa haraka kwa sababu kesho Maulid?

Maulid watu si wanaenda kula mpunga!!!! nani aache kwenda kula mpunga na kupumzika ili aende Airport kupokea mzigo wenye thamani kubwa kwa nchi. Watu wangeweza kulipwa hata overtime kuupokwa mzigo huo. Hii inaonyesha jinsi kulivyokuwa na poor planning pale BoT.
 
Mie nashaka RA ana mkono wake kwenye hili! au?
 
Dar Es Salaam,

Kwi kwi kwi!!! Hata mimi nahisi Rostam kaiba pesa zetu. Huyu jamaa yuko kila sehemu, labda siku nyingine tuweke mabomu humo yamlipukie.

Ahaaaaa, sasa mnamsakama bila sababu! Kweli ashiriki kwenye wizi wa sh mil 34! Sidhani kama ameishiwa kiasi hicho
 
Ahaaaaa, sasa mnamsakama bila sababu! Kweli ashiriki kwenye wizi wa sh mil 34! Sidhani kama ameishiwa kiasi hicho

Hizi 34 millioni labda ni changa la macho, ukifanywa ukaguzi inaweza kuonekana pesa hizo zilikuwa ni mabilioni. Huyu Ndullu mimi simuamini kabisa maana wakati mabilioni ya EPA yanachukuliwa na mafisadi pale BoT alikuwepo kama naibu gavana na hakutoa wala mguno dhidi ya wizi ule. Hivyo anaweza kusema chochote ili kutetea kibarua kisiote majani.
 

I agree Bubu, hawawezi kuingia gharama kubwa kusafirisha around 30,000 USD worth of money! HAaingii kichwani. Pia Interpol haiwezi kujisumbua kuanza investigation kwa kiasi kidogo hivyo. Maana gharama tu za hao wapelelzi zitazidi kiasi cha pesa kilichoibiwa.
This definitely doesn't add up....
 

Hawa wametumia habari ya Thisday kutafuta habari (jambo jema kabisa) lakini sasa wanataka kusema wanakanusha hiyo habari na sijui hapa wanakanusha kitu gani hasa. Hawajui Thisday walijua kila kitu na wakaacha/kupindisha kidogo ili kulinda source wao wa habari. We hushangai walijuaje kwamba zimeibiwa? Walijuaje siku. Kwanini hawakutaja kiwango kilichoibiwa? Waandishi wahabari ni vyema kushirikiana badala ya kulumbana.
 
Hiyo ni style nyingine, nadhani bado zinakuja nyingi!! Bottom line ni walewale tu, hata jambazi sugu na mjuzi asingejua hizo details za kuwasili kwa mzigo!!
 
Ni siku tutasikia BOT imekufa, tugawane nchi mauzo tulale mbele
 
Yaani we still can't print our own money....ndio maana tunaibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…