nimesikia clip ya prof ndulu gavana bot eti watoto wa vigogo ni wachache sana ukilinganisha na wafanyakazi waliopo 1325.Jee kampuni ya airtel au vodacom yenye minara kila kilometa 5 na ofisi kila mkoa inawafanyakazi wengi hivyo?huu ni utumiaji wa rasilimali zetu hovyo hovyo kwani bot ina ofisi ktk kanda tuu arusha,mwanza,mbeya,zanzibar na dar.Anasema uchumi unakua lakini si hali ya maisha.naombeni wana jf mnipe tofauti ya uchumi na hali ya maisha
Kujuwa kama hao ni wengi au wachache hebu tujaribu kutafuta nini BoT wanatakiwa wafanye. Kumbuka hao wafanyakazi wa Airtel au VODA wana wakandarasi wengi wanaowafanyia shughuri zao kwa malipo.nimesikia clip ya prof ndulu gavana bot eti watoto wa vigogo ni wachache sana ukilinganisha na wafanyakazi waliopo 1325.Jee kampuni ya airtel au vodacom yenye minara kila kilometa 5 na ofisi kila mkoa inawafanyakazi wengi hivyo?huu ni utumiaji wa rasilimali zetu hovyo hovyo kwani bot ina ofisi ktk kanda tuu arusha,mwanza,mbeya,zanzibar na dar.Anasema uchumi unakua lakini si hali ya maisha.naombeni wana jf mnipe tofauti ya uchumi na hali ya maisha
ndugu tafuta bajeti ya bot au wakitangaza tender zao utaona wanawakandarasi wengi tena wa bei za juu kuliko vodacom na airtel.hembu nenda ofisi za airtel dar pia tanroads wamepanga pale magari ya thamani na mengi ya tanroads utaijua serikali yetu kipaumbele chake ni kipiKujuwa kama hao ni wengi au wachache hebu tujaribu kutafuta nini BoT wanatakiwa wafanye. Kumbuka hao wafanyakazi wa Airtel au VODA wana wakandarasi wengi wanaowafanyia shughuri zao kwa malipo.