Written by TanzaniaDaima
Tuesday, 25 December 2007
SAKATA la kujiuzulu kwa Gavana wa Benki Kuu, Dk. Daudi Balali, lilichukua sura mpya jana baada ya taasisi hiyo anayoifanyia kazi kutoa taarifa ikisisitiza kuwa kiongozi huyo bado hajajiuzulu.
Taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi katika Ofisi ya Gavana, Joseph Mhando, ilieleza kuwa BoT bado inamfahamu Balali kama gavana wake.
Dk. Balali (Picha: Maktaba)
Quote:-

Huku nako kuna something, yaaani haieleweki kinachoendelea mkuu MMJ, hebu tuweke sawa kuna nini huku?