BOT, ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000)

BOT, ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000)

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
BOT ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000).
Jipapatueni huko muanze kuizalisha hiyo noti, mtakuwa mmepunguza mzigo kwa watu fulani fulani nafikiri hata nyinyi mnanielewa!.

by the way hakikisheni uchumi unakuwa stable sio kuileta hiyo noti ndo nathamani ya pesa yetu ianze kulamba joto la jiwe..😅
 
Back
Top Bottom