BoT na noti mpya 2009

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Tender: Printing of Bank notes
 
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.
 
Take a closer look:



Then



And:



And:



Then

 
Mkuu Invisible, hivi wameamua kuchapisha noti zingine ili kuondokana na sahihi ya B.P.Mramba? au wanasababu nyingine. Tehe tehe tehe noti zenyesahihi ya fisadi Mramba na Mrehemu Balali zinatoweshwa!!!
 
Mkuu Invisible, hivi wameamua kuchapisha noti zingine ili kuondokana na sahihi ya B.P.Mramba? au wanasababu nyingine. Tehe tehe tehe noti zenyesahihi ya fisadi Mramba na Mrehemu Balali zinatoweshwa!!!
Tender yenyewe imetangazwa JUZI (18th Dec 2008) na huenda highlights zilizotolewa na watanzania zimeleta mantiki ya kuchukua hatua kama hizi haraka kwa manufaa ya Taifa. Noti hizi zilizidi kufojiwa na 'inasemekana' hata Manji ana ka-kiwanda kake ka kufyatua noti za 10,000/- maeneo ya Temeke.

Aidha, sahihi za wahusika nazo ziliongeleka hapa:

https://www.jamiiforums.com/business-economic-forum/20776-kwa-nini-tusichapishe-hela-mpya.html

hasa maeneo haya:




Nimekupata vizuri sasa mkuu kichuguu. Sasa tukitaka kupambana na hili tatizo la hela chafu mtaani tunafanyaje?






Noti zenyewe (za sasa) zina sahihi za wafuatao:

Waziri wa Fedha:
Bazil P Mramba

Gavana: Daudi Ballali


Get the message

Of course kama navyosema invisible ni nia mojawapo pia ya kusafisha noti LoL!!!!!!!!!!!!!!
 
I hope wataongeza noti ya denomination kubwa say Shs 20,000.
 
Kwa wabongo tulivyo tender inatangazwa kumbe alisha chukua mtu long time hii ni kama zuga tu.
 
Why? Nafikiri ni bora ili kupunguza kutembea na mabulungutu ya noti ukitaka kufanya shopping. Maduka machache yanapokea debit/credit card.
Na ukipigwa roba ukiwa na noti chache zenye thamani ya Tshs 1,000,000/= utajisikiaje? Urahisi wa kubeba nao una athari zake mkulu! Hapa siandiki kama mchumi ila naamini wachumi wanaweza kutanabaisha nini athari za kuwa na noti za thamani kubwa kama za Zimbabwe.
 
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.

Pesa zinatoka WB lakini Tender Board yetu, kamchezo kanawezekana hapo
 


Pesa zinatoka WB lakini Tender Board yetu, kamchezo kanawezekana hapo

Kamchezo kama zinatumika world bank procurement procedure ni kagumu sana,kumbuka wao wana oversee zoezi zima japokuwa wabongo ndiyo wanaofanya process yote.World Bank wako strict sana katiuka mambo haya.
 
nasikia wanajiandaa kutoa NOTI ya Laki 1....otherwise tusubiri....maana maneno ya mtaani nayo....
 
nafikiri kuchapisha noti mpya ni kuongeza tu mzigo wa gharama. By the way Worldbank wnatukopesha kuchapa noti kwa nini awatukopeshi tujenge viwanda ana kujenga research centres? Wanatoa soft loan na wako kibiashara na ningefurahi kama watasaidia mambo ya kuwainua wananchi wa kawaida. Mfano wangetoa fedha za kununulia matrekta mtatu kwa kila kijiji Tanzania ningewapa shavu kuliko kufadhili kuchapa noti mpya.
 
BoT to introduce new banknotes

By Mkinga Mkinga
Source: The Citizen
 
So JF we had this in mind before!!!!!!!!
 
So JF we had this in mind before!!!!!!!!
Lakini hiyo tenda hawakuitangaza kwenye magazeti ya Nyumbani na wala wakati inawekwa hapa sikuiona kwenye website ya BoT, nikachukulia Invisible mwongo tu, basi nimekubali wazee
 
Invisible,

Between the line una uhakika Manji na akiwanda cha kutengeneza noti za shilingi 10,000 au ndiyo story za kijiweni?
 
Last edited:
Kama anavyosema Fidel, wabongo wamakwisha chukua chao mapema hasa mkijua kuwa watu wa WB nao wanajulikana sana kwa kuchukua commission za 10%i na hawa jamaa wetu waliopo BOT si wametoka huko huko!! Hiyo advertisement ni kifumba macho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…