Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT.
A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be against BoT guideline.
1. Informant amekopa kiasi cha 84,800, Mgodi huwa wanakata kwanza riba yao, hivyo muhusika akapokea jumla ya shilingi 68,688 sawa na Makato ya asilimia 19 ( 16, 112) ya 84,800.
2. Anapokuja kulipa, mgodi wanamtumia mteja SMS kulipa kiasi cha 84,800 ili kufuta mkopo wake, mteja atalazimika kulipa hiyo pesa, akilipa hiyo pesa anakuwa amekatwa tena ile 19% yaani 16,112 nyingine na kufanya jumla ya 32,224 sawa na 38 % as total , ikumbukwe yeye mteja alipokea 68,688 only . Ratio ya makato against cash aliyopokea ni almost 50 by 50 .
3. Wakati mteja anapolipa sasa, kiasi kinabadilika badala ya kuwa 84,800, kiasi kinachosoma kwa ajili ya malipo kina kuwa 89, 040 , ongezeko la 4240 ( ukijumlisha na 32,224 inakuwa 36,464 .
Haya ndio makato ya mteja out of 68, 688 aliyopokea from
84, 800 kama mkopo . Hii ni zaidi ya 50% against
3.4% ya BoT.
Sidhan kama Nape , TCRA na BoT mnahizi Taarifa, tunaposema CCM Hamna MSAADA kwa taifa tuelewane.hizi ndio hoja wabunge wanapaswa ku present , sio kuweka wasanii kama taletale bunguni a standard 7 failures and the likes .
Naishauri BOT, TCRA ifanye simple audit kwenye mikopo ya mitandao yote ianze na MGODI.
Simple auding ijumuishe wao wenyewe kukopa na ku observe trends za makato pamoja na methematical behinds the computation, otherwise tunaweza kuspeculate kuwa kuna viongozi wanafanya UFISADI kwa kushirikiana na hii mitandao hasa VODACOM. Kwa sababu hayo makato kwa watu Mil 3 tu ,ni pesa nyingi sana. Watanzania wengi bado ni ignorants, Serikali lazima iwe na jukumu la kuwalinda.@t