cheichei2010
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 932
- 351
Tell me when u are done with ur words.Mbona habari iko wazi??Analysis gani unahitaji?And let me advice u,si kila kitu lazima u-comment.
Aliyesema chakula hakimgusi kila mtu ni nani? Pia kingine waangalie gharama za makazi zinazopanda kila leo. Wanaposema mafuta pia wanyumbulishe ni kwa namna gani yanaathiri vitu vingine