BoT: Ukaguzi wakamilika


Massawe is their Tanzania/local partner na sio owner wa Ernst & Young.
 
Ukitaka kufanya utapeli Tanzania jiite International utakuwa na kinga ya kufanya lolote unalotaka. Kumwona kiongozi yoyote yule, kupata kazi kubwa kubwa hata bila ya kuwa na uwezo n.k.

Only in Tanzania ukiwa International unapata kinga na wala hakuna maswali.
 

Ni kweli kabisa--angalia nchi ambazo zimetawaliwa na Uingereza ndo zinaongoza kwa RUSHWA---Kenya, TZ, BAngadesh, nk, nk. Nafikiri root cause ya rushwa ni Uingereza.
 
Haya 3 weeks sio muda mrefu tunasubiri kwa hamu zote!! kuona uozo wote!!!,,, tukiwa na matumaini kwamba baada ya uozo kuanikwa wazi, hakuna atakayethubutu tena kutuibia!!! au kujaribu hata kufanya uovu wa aina wowote...yeyote akitambua kwamba hata kama hatagundulika siku hiyo,,, iko siku yake atagunduka.

By the way mukumbuke, awamu ya nne haina stake kubwa kwenye hayo matatizo huenda ndio maana wako confident kuitoa...

Mungu Ibariki Tanzania
 

Kili, samahani, kwani wewe tayari umeshaiona hiyo report au draft copy yake?!

SteveD.
 
Wandugu tungoje Ripoti ya hawa Wandugu wa E&Y ili tujue ukweli wa Ubadhirifu wa pesa kwenye mfuko wa EPA na ujenzi wa Majengo Pacha hapo BOT.Mimi binafsi nina imani kubwa na kampuni hiyo ya Ukaguzi,kwani Ernest & Young ni moja kati ya kampuni kubwa za Ukaguzi/Ushauri wa mahesabu Duniani ukiacha kampuni nyingine ambazo ni PWC,Deloitte na KPGM.

Binafsi sina wasiwasi sana na kuwepo Massawe kwenye Ukaguzi huo!,kwa sababu kulikuwepo Managers wawili kutoka London ambao walisimamia kazi iliyofanywa na local staffs,na ripoti hiyo imepelekwa London kwenye ofisi kuu za kanda na HQ ya E&Y Global kwa uhakiki kabla ya kukabidhiwa Serikalini Ijumaa ya tarehe 30/Novemba kwa ajili ya public consumption.

Kwa jinsi Muundo wa E&Y ulivyo sio rahisi sana kwa Bwana Massawe kupinda chochote kwenye Ripoti hiyo.Massawe ni Partner wa E&Y Dar-es-salaam,na E&Y Global ina uwezo wa kuangalia kazi ya Massawe ili kulinda jina lao!!, E&Y ina zones Saba.Ikiwa chochote kitatokea kwenye Ripoti hii Massawe anaweza kuwajibika kwenye Mkutano wa Global Executive Board ambao nae ni mshiriki wake!!(Board Member).Kwa Mantiki hiyo sidhani kama atakuwa tayari kupoteza jina.

Ikumbukwe kuwa Wafadhili wengi wametolea macho Ripoti hii ili wasimamishe au waendelee kuifadhili Serikali ya Tanzania,kwa maana hiyo Ripoti imefuatiliwa kwa macho mengi(makubwa)!!!..Kama ni udanganyifu utafanywa na watakaotusomea Ripoti!Ambao nadhani watakuwa Hazina kwa kupitia kiranja Gray Mgonja. Uwezekano wa kuipata Ripoti bado si rahisi.Kwa yeyote mwenye Ubavu na uwezo anaweza kujua mengi kwa kuwasiliana na mahali Ripoti ilipo kwa sasa.
1 More London Place,
London.SE1 2AF
Tel; +44(0)20 7951 2000
Fax; +44(0)20 7951 1345
au www.ey.com
 
Tulipigania uhuru sio wa Tanzania peke yake bali hata wa nchi zote za kusini mwa Tanzania ukiondoa chache sana. Leo hii wabunge wetu hawawezi hata kufanya uchunguzi wa pesa zinazopotea kwenye Benki kuu ambayo ni kitovu au moyo wa nchi. Kweli Tanzania uhuru bado kwa viongozi wetu. Wapo au tupo wachache sana.
 
TITUS KAGUO
Daily News; Friday,November 16, 2007 @00:01

ERNEST and Young, an international auditing firm now going through the Bank of Tanzania (BoT) books has asked until next Thursday to present its audit report.

The Acting Controller and Auditor General, Mr Gregory Teu, told the ‘Daily News’ in Dar es Salaam yesterday that the auditors had run into hurdles obtaining some key documents.

“We have agreed in principle to let them collect all the evidence needed to prepare the best report as the matter is some how delicate and sensitive,” said Mr Teu.

Ernest and Young were picked to investigate financial irregularities in the country’s central bank on September 11.

They were given 60 days to do the job, meaning their report should have at the latest, been ready by last Monday.

Most complained about was the management of the commercial external debt account, with some allegations directly pointed at the Governor, Mr Daudi Ballali.

The Minister for Finance, Mrs Zakia Meghji, told the CAG to appoint an independent auditor of international repute to look into the allegations of misuse of billions of shillings through the account.

However, some had wanted Mr Ballali to stand aside while the investigations went on to give the exercise greater credibility.
 
Lakini naona bado kuna mengi ya kujiuliza kwanini London? Kwa nini sio sehemu nyingine? Is it London because that is the HQ of the company? Is it London because of fear of interference in Dar es salaam? Is it London because it is easy to fool us from London than from Dar es salaam? Hivi viulizo bado vitaendelea kutamba katika hizi wiki tatu. Watu wa London mkiweza kupata mambo mtujulishe.
 
The Job has to be reviewed by E&Y International.

Thats the reason SIR!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…