BOT wamefungua dirisha la kuwekeza hati fungani

BOT wamefungua dirisha la kuwekeza hati fungani

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
1727094560056.jpg
 
Yes, ukiweka 1 Billion unapokea 154,900,000 TSH annually. Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Biashara nyingi duniani hazirudishi more than 12% annually, worldwide.
Siku zote Money Market bongo ni za matajiri.
Sisi kapuku tukuze mtaji kwenye biashara halafu ndio twende kwenye ""making money while sleeping""

Umesahau; huko kuna Withholdimg Tax na Kodi nyengine.

Ila kwenye biashara ni rahisi kukwepa kodi.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom