Mkuu benki kuu si ndio regulatory body ya benki nchini? Benki zenyewe huwa zinawatangaza wafanyakazi waliopiga magazetini.Kwa hiyo benki kuu imejivika jukumu la kuwa wakili wa hizo bank ambazo staff wao waliji-involve na hizo misconduct?
Hata kama lengo lao ni zuri lakini kwa bank kuu kujihusisha na hili moja kwa moja kunaonesha kuna msukumo wanaoupata toka mahali, wanataka hao watuhumiwa waka settle matter kwa DPP kama kawaida yao, wachukue mzigo wakafanyie mambo yao.
Binafsi ningependa hizo kesi ziende mahakamani, kila upande upeleke mashahidi wake mbivu na mbichi zikaamuliwe na hakimu, sitaki hao watuhumiwa waishie kukaa jela miaka kesi zikiitwa mahakamani upande wa mashtaka kila siku waseme uchunguzi bado unaendelea, huu ni uonevu.
Kuna bank moja kule moshi. Kilimanjaro cooperative bank limited🤣Wale wa taasisi za fedha kuanzia 2011 hadi sasa, tuwe tuliacha kazi, tulibadilisha kazi au bado tupo kazini tunahusika huku.
Hakuna kitu kizuri kama kufuata sheria, kanuni na taratibu. Maana usipozifuata sheria na taratibu bila shurti zitakuja kukuadhibu bila taarifa.
Maendeleo hayana vyama.
Mungu ibariki tanzania
Lazima pawepo mipaka ya kiuendeshaji na kiusimamizi.Mkuu benki kuu si ndio regulatory body ya benki nchini? Benki zenyewe huwa zinawatangaza wafanyakazi waliopiga magazetini.
Sa hivi Hamna makali tena kama wakati ule kabla mitano tena.Duu! Hapa ni hatari na nusu, waliopiga wajiandae kuzitapika!