Wakuu mwenye taarifa anijuze wiki tatu zimepita tangu nifanye oral interview pale Bot.Tulikuwa kama 15 hv tuliofanya hio interview naomba kujua kama wameshaita plse mwenye taarifa anijuze