Benki kuu imeweka dawati la kushughulikia kesi zinazohusu mabenki na wateja wao, lkn wamesema kesi ambazo wao kama Benki Kuu wanasikiliza ni zile zisizozidi milion 15, Sasa je Kama madai yanazidi kiasi hicho inabidi yapelekwe wapi?
Nafikiri ni mahakamani, maana hata usipo ridhika na maamuzi ya Dawati unapaswa kwenda mahakamani, hakuna chombo kingine cha juu cha usuluhishi katika Benki Kuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.