BOT watoa scholarship changamkia

oil sumu una matatzo kchwani,hujui matokeo yangu afu unapayuka km chiz et nlpata E!punguza uropokaj ndg,unakua km 'neema wa mitego' bana!

we matokeo yako ni E F E TEna ushukuru balaza kwa kustandzng matokeo yako ungepata 0
 
we matokeo yako ni E F E TEna ushukuru balaza kwa kustandzng matokeo yako ungepata 0

we punga nn dogo!chitaji kuverify matokeo kwa m2 mwenye domo chafu km 'neema wa mitego'.NB; niko eligible kwa scholarship 100%,then judge mwenyewe niliscore ngap!
 
we punga nn dogo!chitaji kuverify matokeo kwa m2 mwenye domo chafu km 'neema wa mitego'.NB; niko eligible kwa scholarship 100%,then judge mwenyewe niliscore ngap!

div 3 point 17
 
umefeli sana we kapige debe hata kama ukipata chuo basi cha kata au taasisi

nkwambie oil sumu mwambie UDSM atakuwa anaisikia redioni tu,huyo dogo atapelekwa SEKOMU b'se tokeo lake ni la kawaida sana,oil sumu karibu sana UDSM-The home of intellectuals
 
nkwambie oil sumu mwambie UDSM atakuwa anaisikia redioni tu,huyo dogo atapelekwa SEKOMU b'se tokeo lake ni la kawaida sana,oil sumu karibu sana UDSM-The home of intellectuals

asante kaka!
 
dogo umesoma mwakaleli mbeya jkt hujaenda 1st intake.! Acha uongo pimbi wewe una dv3 ya 13 ya hgl kilaza ww

uyu dogo pimbi kweli darius,1st intake jkt wanamalza september27!,afu alivo mjnga anadanganya yuko jeshi akidhan wote hamnazo km yeye
 
kwani ujaui cha kwanza Tz na cha4 afrika

aha udsm,ndo maana.da,lakn hilo jina tu la chuo,sababu ukiangalia jina na ubora wa mwanafunz vinaweza tofautiana."CHINA NA MAREKAN NI TAJIRI LAKINI UKIANGALIA MMOJAMOJA UTAGUNDUA KITU"jina linabeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…