Geneva, UN HRCMachi 2026, Balozi Sanders alitoa wito kwa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) kuihimiza Tanzania "uchunguzi huru, wa uwazi, na mamlaka" dhidi ya
Eleanor Sanders , Balozi wa Haki za Binadamu wa Uingereza, amekuwa akitoa maoni yake kuhusu hali ya kisiasa nchini Tanzania kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025.
Hapa kuna mambo muhimu kuhusu msimamo wa Eleanor Sanders kuhusu Tanzania:
- Wito wa Uchunguzi: Mnamo Machi 2026, Balozi Sanders alitoa wito kwa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) kuihimiza Tanzania "uchunguzi huru, wa uwazi, na mashtaka" kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
- Wasiwasi Kuhusu Vurugu za Baada ya Uchaguzi: Aliangazia ushahidi wa "ukatili wa ukweli" kufuatia uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikiwa ni pamoja na madai ya mauaji ya kiholela na utunzaji usiofaa wa miili.
- Ukandamizaji Uliolengwa: Sanders alisema kwamba Uingereza ina ushahidi wa ukandamizaji unaofadhiliwa na serikali, ikiwa ni pamoja na kukandamiza taarifa, ukatili dhidi ya raia, na kulengwa kwa wawakilishi wa upinzani baada ya uchaguzi.
- Ulinzi wa Uhuru: Matendo yake yanalenga kulinda uwajibikaji na kulinda uhuru wa msingi na haki za kikatiba za raia wa Tanzania.
- Mwitikio wa Tanzania: Serikali ya Tanzania imetetea hatua zake, ikisema majibu yake ya kiusalama yalikuwa muhimu ili kudhibiti machafuko ya baada ya uchaguzi na kwamba shutuma hizo zinaegemea upande mmoja. Wawakilishi wa Tanzania walionya dhidi ya kuingilia kati kwa Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi huru.
ounceWakia ni nini?
Kuna utapeli gani hapo?Serikali hii imejaa matapeli
Walikanusha wakasema hawauzi! 😁
ounce
Watanunua kwa nani?Hapo ni muda wa kununua zaid dhahabu
digital currency na traditional currency (coins & notes) zote ni kitu kimoja.Dhahabu ndio asset ya mwisho ya taifa,hizi pesa za makaratasi zitaashuka sana thamani petrol dollar ita anguka,soon tutaanza kutimia digital currency ..us dollar haitatumik tena kununua petrol...us dollar itaanguka sana haitakuwa na thamani,na pesa zetu za madafu hazitakuwa na thamani ..DHAHABU itakuwa alternative...ndio maana nchi zote zenye akili duniani zina hifadhi dhahabu kwa wingi ..kwa maandalizo ya future ...ndio mbafala wa fedha.
Torana ounce ni nini? ...
mabadiliko makubwa yatakayotokea ni KUDROP kwa US dollar kwa kiwango kikubwa sana ambacho hakijawahi kutokea duniani.digital currency na traditional currency (coins & notes) zote ni kitu kimoja.
Ni forms zao tu ndio tofauti ila ni kitu kile kile.
Therefore, traditional currency ikidrop, na digital currency pia inadrop, and vice-versa.
Haya sawa mtumishi. Umeshajitetea ni kiroho, sina neno tena.mabadiliko makubwa yatakayotokea ni KUDROP kwa US dollar kwa kiwango kikubwa sana ambacho hakijawahi kutokea duniani.
US dollar haitatumika tena kununua petrol...badala yake hela mpya itapanda ambayo itakubaliwa na muungano wa nchi nchi tajiri wa mafuta duniani zenye mafuta mengi zitaungana kutumia fedha moja katika mfumo wa digital sio hard copy soft copy.
sasa utajiri wa nchi nyingine utapimwa kulingana na wingi wa hifadhi yake ya hazina yake dhahabu .
mana yale ma US DOLLAR yatakuwa ni useless badala yake dhahabu ndio itakuwa mbadala wake...
haoa naongea habari za ufunuo wa kinabii mambo ya KIROHO sio sayansi ya uchumi wala sio sayansi ya siasa.
NI unabii wa KIROHO mambo ya rohoni...hayo ndiyo yatakayotokea siku si nyingi zijazo.
Mafuta ya petroli yata adimika sana na yatakuwa ghali sana ...sana..ni kama hayatakuwepo kabisa..siku za mbeleni.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesitisha mpango wake wa kuuza akiba ya dhahabu
01 April 2026
Tanzania has suspended its planned sale of gold reserves
Valued at $1.3 billion (Sh167.6 billion)
As of early April 2026, the Bank of Tanzania (BoT) has suspended the planned sale of its gold reserves due to a dip in global prices. The bank was set to sell a portion of its 19.6-tonne hoard—accumulated to bolster foreign exchange reserves—but halted the sale as prices dipped below the targeted selling point, despite still hovering around high levels.
Tanzania has announced plans to sell part of its $1.3 billion (Sh167.6 billion) gold reserves to fund domestic projects,
Key Details Regarding the Suspension:
Source : BOT
- Cause: The suspension stems from declining international gold prices, which dipped after a significant rally.
- Reserve Status: As of March 2026, the BoT was holding approximately 19.6 tonnes of gold, close to their 20-tonne goal accumulated since October 2024 to strengthen foreign currency reserves.
- Background: The plan to sell was intended to rebalance holdings and assist with liquidity after accumulating gold, rather than for direct government spending, as initially thought by some analysts.
- Market Context: Despite the temporary suspension, the initiative, reported on platforms like LinkedIn and mentioned on The Citizen, highlights Tanzania's move to leverage its resources for economic stability, per reports.
Dhahabu Samia ameshindwa kuzigomboa azitumie kwa utawala wake wa kujisimika kwa nguvuWabunge Dodoma mmesikia msimamo uliogeuka
Sakata la akiba ya dhahabu kuuzwa laibuka Bungeni Mbunge asema Kimfaacho mtu chake, serikali isisikilize wanaharakati uchwara wasiotaka akiba ya dhahabu kupigwa mnada zipatikane hela kwa utawala wa Samia
View attachment 3565744
N. B
Serikali ya Tanzania imepanga kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu ili kupata fedha za kufadhili miradi ya miundombinu. Uamuzi huu unalenga kutumia rasilimali hizo kuongeza ukwasi, ingawa umezua mjadala miongoni mwa wachumi kuhusu faida na hasara zake