MamaSamia2025 nchi ishamshinda.View attachment 3546022
Tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeuza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 168 kwenye soko la fedha la mabenki – Interbank Foreign Exchange Market (IFEM). Hiki ni kiasi kikubwa na cha mara kwa mara ambacho hakijawahi kuonekana katika rekodi za huko nyuma za benki kuu.
Soko la IFEM ndiyo sehemu kuu ambapo biashara ya fedha za kigeni hufanyika nchini. Hapa, benki za biashara na BoT hukutana kupanga thamani ya Shilingi kulingana na mahitaji ya soko. Soko hili ni muhimu kwa sababu linasaidia mabenki kupata fedha za kigeni kwa ajili ya biashara za kimataifa na uwekezaji. Pia, linaipa BoT nafasi ya kuingilia kati ili kulinda uchumi usiyumbe.
Kwa kawaida, BoT huingilia soko hili ili kuongeza upatikanaji wa Dola na kuzuia Shilingi isishuke thamani kwa kasi. Wakati mwingine, wanafanya hivi kama mbinu ya kibiashara – kuuza akiba wakati bei ni ya juu kwa matumaini ya kupata faida thamani itakaposhuka baadaye – kama walivyofanya walipouza dhahabu ya thamani ya Dola bilioni 1.3 mwishoni mwa Januari mwaka huu.
Hata hivyo, mfululizo huu wa uuzaji wa Dola tangu uchaguzi uishe – kipindi kilichogubikwa na ghasia na hali ya wasiwasi – ni jambo la tofauti na taratibu za kawaida. Katika miezi minne tu iliyopita, BoT imeuza jumla ya Dola milioni 228, jambo ambalo ni rekodi mpya. Kinachozua maswali zaidi ni minada miwili mikubwa ya Dola milioni 15 na milioni 20 iliyofanyika tarehe 24 na 27 Oktoba, zikiwa ni siku chache tu kabla ya Uchaguzi Mkuu.
View attachment 3546024View attachment 3546025
Wadau wa uchumi na siasa, nini maoni yenu juu ya hatua hizi za BoT? Je, kuna jambo gani limejificha nyuma ya pazia hili?
Hawa wauzwe tu kwakweli nasikia ashawapatia wanaume mashababiMamaSamia2025 nchi ishamshinda.
Sasa yuko mbioni kuwauza kwa mabasha wa kiarabu vijana wafuato:-
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Tlaatlaah
Hawa wanatakiwa haraka Uarabuni mipododo Yao ikapigwe paipu
Dah how my country is fucking poor minada mikubwa iliyobunja records ni ya mauzo ya dollars million 15 na million 20 dah.. wakati pambano mojo tu la ndondi huko usa USA au Europe mshindi anabeba dollars million hadi 200.View attachment 3546022
Tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeuza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 168 kwenye soko la fedha la mabenki – Interbank Foreign Exchange Market (IFEM). Hiki ni kiasi kikubwa na cha mara kwa mara ambacho hakijawahi kuonekana katika rekodi za huko nyuma za benki kuu.
Soko la IFEM ndiyo sehemu kuu ambapo biashara ya fedha za kigeni hufanyika nchini. Hapa, benki za biashara na BoT hukutana kupanga thamani ya Shilingi kulingana na mahitaji ya soko. Soko hili ni muhimu kwa sababu linasaidia mabenki kupata fedha za kigeni kwa ajili ya biashara za kimataifa na uwekezaji. Pia, linaipa BoT nafasi ya kuingilia kati ili kulinda uchumi usiyumbe.
Kwa kawaida, BoT huingilia soko hili ili kuongeza upatikanaji wa Dola na kuzuia Shilingi isishuke thamani kwa kasi. Wakati mwingine, wanafanya hivi kama mbinu ya kibiashara – kuuza akiba wakati bei ni ya juu kwa matumaini ya kupata faida thamani itakaposhuka baadaye – kama walivyofanya walipouza dhahabu ya thamani ya Dola bilioni 1.3 mwishoni mwa Januari mwaka huu.
Hata hivyo, mfululizo huu wa uuzaji wa Dola tangu uchaguzi uishe – kipindi kilichogubikwa na ghasia na hali ya wasiwasi – ni jambo la tofauti na taratibu za kawaida. Katika miezi minne tu iliyopita, BoT imeuza jumla ya Dola milioni 228, jambo ambalo ni rekodi mpya. Kinachozua maswali zaidi ni minada miwili mikubwa ya Dola milioni 15 na milioni 20 iliyofanyika tarehe 24 na 27 Oktoba, zikiwa ni siku chache tu kabla ya Uchaguzi Mkuu.
View attachment 3546024View attachment 3546025
Wadau wa uchumi na siasa, nini maoni yenu juu ya hatua hizi za BoT? Je, kuna jambo gani limejificha nyuma ya pazia hili?
Wapigwe miti hadi vinyeo vibebe mimbaHawa wauzwe tu kwakweli nasikia ashawapatia wanaume mashababi
Kwanza kabisa kama taifa kwa pamoja,View attachment 3546022

Hizo pesa mafisadi wanazo kwenye account hilo halikushangazi.Dah how my country is fucking poor minada mikubwa iliyobunja records ni ya mauzo ya dollars million 15 na million 20 dah.. wakati pambano mojo tu la ndondi huko usa USA au Europe mshindi anabeba dollars million hadi 200.
Mmh!!! hapo ni vichekesho tu au comedy dollar 15m kwa 20m ni kidogo sana kuleta impact kwenye economy ya GDP 54BN ya dollor.View attachment 3546022
Tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeuza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 168 kwenye soko la fedha la mabenki – Interbank Foreign Exchange Market (IFEM). Hiki ni kiasi kikubwa na cha mara kwa mara ambacho hakijawahi kuonekana katika rekodi za huko nyuma za benki kuu.
Soko la IFEM ndiyo sehemu kuu ambapo biashara ya fedha za kigeni hufanyika nchini. Hapa, benki za biashara na BoT hukutana kupanga thamani ya Shilingi kulingana na mahitaji ya soko. Soko hili ni muhimu kwa sababu linasaidia mabenki kupata fedha za kigeni kwa ajili ya biashara za kimataifa na uwekezaji. Pia, linaipa BoT nafasi ya kuingilia kati ili kulinda uchumi usiyumbe.
Kwa kawaida, BoT huingilia soko hili ili kuongeza upatikanaji wa Dola na kuzuia Shilingi isishuke thamani kwa kasi. Wakati mwingine, wanafanya hivi kama mbinu ya kibiashara – kuuza akiba wakati bei ni ya juu kwa matumaini ya kupata faida thamani itakaposhuka baadaye – kama walivyofanya walipouza dhahabu ya thamani ya Dola bilioni 1.3 mwishoni mwa Januari mwaka huu.
Hata hivyo, mfululizo huu wa uuzaji wa Dola tangu uchaguzi uishe – kipindi kilichogubikwa na ghasia na hali ya wasiwasi – ni jambo la tofauti na taratibu za kawaida. Katika miezi minne tu iliyopita, BoT imeuza jumla ya Dola milioni 228, jambo ambalo ni rekodi mpya. Kinachozua maswali zaidi ni minada miwili mikubwa ya Dola milioni 15 na milioni 20 iliyofanyika tarehe 24 na 27 Oktoba, zikiwa ni siku chache tu kabla ya Uchaguzi Mkuu.
View attachment 3546024View attachment 3546025
Wadau wa uchumi na siasa, nini maoni yenu juu ya hatua hizi za BoT? Je, kuna jambo gani limejificha nyuma ya pazia hili?
Huna akili.MamaSamia2025 nchi ishamshinda.
Sasa yuko mbioni kuwauza kwa mabasha wa kiarabu vijana wafuato:-
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Tlaatlaah
Hawa wanatakiwa haraka Uarabuni mipododo Yao ikapigwe paipu
Wewe huna bikira huko kwenye makalio, yaani hata mkonga wa tembo unaingia bila kugusa ukuta wa mkunye wakoHuna akili.
Tarehe 24 na 27 octobajambo ambalo ni rekodi mpya. Kinachozua maswali zaidi ni minada miwili mikubwa ya Dola milioni 15 na milioni 20 iliyofanyika tarehe 24 na 27 Oktoba, zikiwa ni siku chache tu kabla ya Uchaguzi Mkuu