Botswana: Rais Mstaafu adai Serikali inapanga kumkamata na kumuua akirejea nchini humo

Botswana: Rais Mstaafu adai Serikali inapanga kumkamata na kumuua akirejea nchini humo

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
imageresize

Tamko hilo linafuatia mahojiano ya Khama kueleza kuwa ana taarifa Serikali ya Rais Mokgweetsi Masisi inapanga kumkamata na kumuwekea Sumu atakaporejea Nchini humo kutoka Afrika Kusini anakoishi tangu mwaka 2021.

Khama amesema Serikali ya Botswana inahofia ushawishi mkubwa alionao kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2024 ambapo yeye ataungana na Vyama vya Upinzani ili kumuondoa Rais Masisi.

Mzozo kati ya Ian Khama na Rais Masisi ulianza mwaka 2018 baada ya Masisi kuanza kubadili baadhi ya Sera Kuu zilizopitishwa wakati wa uongozi wa miaka 10 wa Khama.

================

Botswana's government has dismissed claims that it plans to arrest and kill exiled former president Ian Khama if he returned home.

In an interview last week, Mr Khama told AFP news agency that he had information about plans to arrest and poison him upon arriving home from South Africa, where he has been exiled since 2021.

He claimed the Botswana government fears his influence ahead of next year's general elections.

But in a statement on Tuesday, communication permanent secretary William Sentshebeng dismissed Mr Khama's claims as "outrageous and unfortunate".

"We regard the claims as politically motivated and with sole intention to tarnishing the good image of Botswana and her government," Mr Sentshebeng said.

With elections due next year, Mr Khama has vowed to dethrone his handpicked successor Mokgweetsi Masisi, now a bitter rival whom he accuses of being a threat to democracy.

Mr Khama said he was preparing to return home to "join with other parties to ensure that he [Mr Masisi] and his party lose the elections".

The former leader said he has undergone a "full medical check" and updated his will because he was almost certain that within days of arriving he will be arrested.

The 70-year-old Mr Khama, a former senior military officer, governed one of Africa's top diamond producing nations for a decade until 2018, before handing the reigns to Mr Masisi, then his deputy.

The row between him and his successor started in 2018 when President Masisi started reversing some key policies adopted during Mr Khama's tenure.

In January, President Masisi struck a reconciliatory note but the rivalry between the two continues.

In December last year, Botswana issued an arrest warrant for Mr Khama, alleging unlawful possession of firearms.

BBC
 
Aamue arejee Botswana ili afie nyumbani au abaki aliko na afie hukohuko
 
Afrika bure kabisa, sasa wanafanya mambo ya kipumbavu namna hii halafu bado eti wanataka na wenyewe waheshimiwe.

We're very hopeless people we niggers.
 
Back
Top Bottom