Botswana yagundua almasi kubwa yenye uzito wa karati 2,492, inaaminika kuwa ya pili kwa ukubwa duniani

Wabongo bhn majuzi mlitaman kuwa wakenya baada ya maandamano ya gen z
Leo naona mnaitamani Botswana na maisha yao kwa ujumla
Wengine wanauliza kwann madini yetu hatutangazi hivo
🤣🤣🤣
 
Wazungu wanaandaa peace keeping mission kuelekea Botswana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…