Bottle preforms haraka zinahitajika

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
18,772
Reaction score
8,939
Wadau kwa yeyote anayejua kiwanda kinacho/weza kutengeneza hii kitu, Please msaada. Hizi ni preforms kwa ajili ya kuweka kwenye mould na kuzipuliza kupata chupa.
 
Wadau kwa yeyote anayejua kiwanda kinacho/weza kutengeneza hii kitu, Please msaada. Hizi ni preforms kwa ajili ya kuweka kwenye mould na kuzipuliza kupata chupa.

Hbr Mkuu
Japo ni uzi wa zamani, je ulifanikiwa kujua zinakopatikana hizi preforms pamoja na terms zao za biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…