Boutique la Nguo za mtumba kwa Ladies...

Boutique la Nguo za mtumba kwa Ladies...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,649
Reaction score
4,786
Duka kuuubwa na la kisasa la kuuza nguo za Mtumba kwa wasichana na kina mama limefunguliwa Sinza Mugabe.

Duka linaitwa El Clasico liko Sinza Mugabe karibu na hotel ya City Style.

Nimeona pamba za ukweli, grade A...
Hakika pametulia.
 
Mkuu, umechoka na JK umeamua kugoma peke yako na kuwa mjasiriamali?
hongera
 
Kwenye tangazo la jeneza usiweke karibu tena kuna jamaa pale muhumbili baada ya kuuza jeneza akasema karibuni tena akaambulia kipigo.
 
Back
Top Bottom