Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 May 7, 2010 #1 Duka kuuubwa na la kisasa la kuuza nguo za Mtumba kwa wasichana na kina mama limefunguliwa Sinza Mugabe. Duka linaitwa El Clasico liko Sinza Mugabe karibu na hotel ya City Style. Nimeona pamba za ukweli, grade A... Hakika pametulia.
Duka kuuubwa na la kisasa la kuuza nguo za Mtumba kwa wasichana na kina mama limefunguliwa Sinza Mugabe. Duka linaitwa El Clasico liko Sinza Mugabe karibu na hotel ya City Style. Nimeona pamba za ukweli, grade A... Hakika pametulia.
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 May 7, 2010 #2 Mkuu, umechoka na JK umeamua kugoma peke yako na kuwa mjasiriamali? hongera
K kashwagala Senior Member Joined Mar 10, 2010 Posts 116 Reaction score 17 May 7, 2010 #3 Kaka najua kuna mshiko hapo! ijumaa leo,nikutafute?
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 May 8, 2010 Thread starter #4 kashwagala said: Kaka najua kuna mshiko hapo! ijumaa leo,nikutafute? Click to expand... Yaani wabongo mnahisi kila kitu kuna cha juu duh. Kesho ntawajia na tangazo majeneza
kashwagala said: Kaka najua kuna mshiko hapo! ijumaa leo,nikutafute? Click to expand... Yaani wabongo mnahisi kila kitu kuna cha juu duh. Kesho ntawajia na tangazo majeneza
D Diana-DaboDiff JF-Expert Member Joined Jul 13, 2009 Posts 376 Reaction score 19 May 8, 2010 #5 Kwenye tangazo la jeneza usiweke karibu tena kuna jamaa pale muhumbili baada ya kuuza jeneza akasema karibuni tena akaambulia kipigo.
Kwenye tangazo la jeneza usiweke karibu tena kuna jamaa pale muhumbili baada ya kuuza jeneza akasema karibuni tena akaambulia kipigo.