Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Una ngapi wewe kiongozi ? Weka dau mezaniMbona bei ya dukani boss
mkuu hyo Ndo shida ya wauzaji wa kibongo na wanunuaji wa kibongo shida yao utaiona baada ya kutupiwa picha halisi😁😁Badala ya kuweka picha ya mtandaoni kwanini usiweke picha halisi ya hilo goma hapo lilipo?
Shida Sana. Ni kama mtu Hana hakikamkuu hyo Ndo shida ya wauzaji wa kibongo na wanunuaji wa kibongo shida yao utaiona baada ya kutupiwa picha halisi😁😁
Naweka sasa hiviBadala ya kuweka picha ya mtandaoni kwanini usiweke picha halisi ya hilo goma hapo lilipo?
Badala ya kuweka picha ya mtandaoni kwanini usiweke picha halisi ya hilo goma hapo lilipo?
Shida Sana. Ni kama mtu Hana hakika