Bow Wow kwa kafunuka ana mtoto ila grammar dah!!

Kweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Posts
1,152
Reaction score
304
Dogo Shad Moss aka Bow wow ameanika kwenye website yake habari njema kwamba ana binti wa miaka 3, huyu dogo born and bred Unyamwezini na alikuwa na private tutor anayemsomesha tangia ana umri wa miaka 7, nimeshangaa kuona muandiko wake ndio huu, naona Kanumba wetu kumbe ana afadhali sana.

 
Mimi sijaona tatizo liko wapi hapa?
 
Mimi sijaona tatizo liko wapi hapa?
Tatizo hapo ni grammar mbovu, inaeleweka kwamba walengwa wake wakuu watafahamu, (hata mimi ingawa sio mlengwa nimefahamu) najua wengi tuna-text in free style lakini inapokuja suala la kuandika ili ufahamike inakuwa tofauti.
Hivi wewe hujaona mapungufu ya kifasihi hapo? Simaanishi mtindo (style) namaanisha fasihi (grammar)
There is a big difference between writing drivel or incomprehensible piece and writing slang, you can get away when you are talking like this but when it comes to writing, it simply become incoherent.
 
Mbona mi sioni tatizo?!Huna haja ya kufikiria kujua nini anaongea...japo ameamua kutozingatia grammar na kuandika kama anavyoongea/rap bado anaeleweka bila ugumu wowote.Na hicho ndio muhimu...KUELEWEKA!
 
Hamna tatizo hapo, American English ndo ilivyo mara nyingi huwa haifati grammar.
 
Nia ya lugha ni kuwasiliana na kufikisha ujumbe kama ukumbe umefika mi sioni tatizo liko wapi
 
Reactions: EMT

Umeanza kusahihisha hata lugha za watu. Hizo ni lugha zao wanazotumia kuwasiliana na mashabiki wao. Thats how they get connected to their fans. Nenda pale halafu ujifanye unawasiliana nao kwa lugha yako fasaha uone kama utapata mashabiki. Wewe unaona mapungufu ya kihasihi kwa sababu sio mlengwa wa ujumbe wenyewe. Halafu nani alikuambia Amercani English inafuata kanuni za fasihi?
 
Dats black american english mkuu, they dont give a damn about grammar.
 
Black americans esp the rappers use slang words! So it doesnt go with the grammar! Hajakosea chochote.. By the way "big up to bow wow"! Sasa amekua kiakili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…