Box Rec: Greatest Boxer of all time

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Naona Mayweather anajitapa kweli kwenye social media zake kuhusu hizi data za BoxRec, kwama numbers always dont lie

Nini maoni yako mdau wa boxing
 
Ngumi jiweee, naandaa pambano kati yake na Kalama Nyilawila
 
Bila shaka aliyeandaa hii List ni mmarekani!
 
Mike Iron Tyson ndo alikuwa boxer ngumu zasikuizi wanashikana tu. king of upper cut is my best na enjoy kuona akiwadondosha boxer wengine uwanjani back in day.
 
List uozo kabisa, kwa anayejua historia ya boxing hawezi kudanganywa kirahisi hivyo.
 
Tyson hakuwa na record nzuri sana kuingia kwenye hii list
Lakini alikua ni bondia maarufu sana sana
 
Mike Iron Tyson ndo alikuwa boxer ngumu zasikuizi wanashikana tu. king of upper cut is my best na enjoy kuona akiwadondosha boxer wengine uwanjani back in day.
Kuna tofauti kati ya bondia maarufu na bondia mwenye rekodi nzuri
 
Ok mm namjua Jamaa anaitwa GGG simwon hapo Ok labda hakidhi viwango. Haya Tyson vp????? Wale wazee waliokuwa wanapigana na mohamed ali ????
 
huyu huyu mayweather anayerukaruka ulingoni ndiyo awe bondia bora waache umama labda awe bora kwa machoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…