INAUZWA Boxer BM 150 black used

INAUZWA Boxer BM 150 black used

Sio mzuri wa kuangalia hayo mambo, kama unaitaka 0692713599

Ncheki hapo nipo temeke
 
Acha Jeuri Kwanza Utauzaje kitu Atujaona Hata Picha, Pili Inaonesha hiyo pikipiki Haina Kibali au Inadaiwa, Tatu kuwa na Kauli nzuri
 
Nenda dukani zipo boxer za lak7 zimekuja mpya kabisa
We jeuri sana mkuu sijui kama unafahamu huku pia kuna watu jeuri zaidi yako?

Ushauri wa bure: weka Picha, taarifa zingine kuhusu umbali iliyotembea, na mambo ya vibali.
 
Back
Top Bottom