INAUZWA Boxer BM 150 inauzwa laki tano

vicent01

Senior Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
100
Reaction score
94
Habarin waheshimiwa,

Nauza boxer bm 150 km inavyoonekana kwenye picha sababu aina matatzo sana labda indicator na saintmirror pia na ila ni kuwasha na kuondoka ina kadi yake original kabisa. Vilevile kwa matazo ya saint mirror na indicator tunakatiana hela umo umo na vimatatzo vingine

napatikana tmk dsm mitaa ya temeke hospital call no 0742090831
pia haitoi moshi wala nini

Dau ni lak tano maongezi kidogo sana.


kwa maswali niulize kupitia namba ya simu tu pm sipo mda mwingi.

 
habarin waheshimiwa
nauza boxer bm 150 km inavyoonekana kwenye picha sababu aina matatzo sana labda indicator na saintmirror pia na ila ni kuwasha na kuondoka ina kadi yake original kabisa...
Umeipata wapi hii mkuu?

Hii pikipiki mbona nilioona pale kituo cha Polisi Temeke tangu 2016 ikiwa imekamatwa.
 
ISHAUZWA MAZEE KWA LAK 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…