Boxer Mwana Fa

bila shaka huu mpambano utakuwa wa kushika mic lakini kama ni wa ngumi, naomba waandae kabisa gari la wagonjwa.
 
hivi mwana fa anaumwaga nini??
Nasikia tu anaumwaaaaaaaaa
ila sijui anaumwaga nini

nilipata sikia japo sina uhakika ana cirle cell au kiswahili unaitwa anaemia,
 

ninackeupendea huu mchezo hauna kutegea kila mmoja lazima ujitume lasivyo utaondoka na manundu nyumban
 
@DC umefukunyua uzi.

Ujue Jukwaa hili kitambo lilikuwa linanoga sana,so nasoma soma za zamani!!

Nikiona wachawi nawachana,Ujue tupo katika mpango wa kuwafuta wachawi kwenye hili Jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…