Wajuzi ebu mnisaidie hapo, nahitaji moja ambayo ni durable, imara, less consuming(fuel), availability of spare na ziko cheap. Dukani hawaaminiki Sana wanasema kulingana na bidhaa walizonazo, nahitaji kwenda na choice yangu.
Nb: naelewa chombo kuishi muda mrefu inategemeana na matumizi yako kwaio isiwe point