Ni nzuri kwa mwonekano wa mbele. Ingependeza kwa nyuma pia tungeona.
Tatizo hapa wabongo wengi wanavaa mashati makubwa sio saiz yao kwa sababu ya vitambi n.k
Poa mkuu tuletee mrejeshoMbona hawajatuonesha kwa nyuma inakaaje?
Nitazitafuta kisha nitaleta mrejesho.
Hapana mkuu hii tusameheane ukiinama suruari ikashuka watu wanaona umevaa BIKINI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvaa hio ni sawasawa na demu aliyevaa bikini tu.
Upuuzi tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya ndiyo majibu ya uzi huu.