Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahahaha, (naona unataka kubeba zote mwenyewe) tafuta wa kukusaidi kufungua hizo zawadi maana unaweza kujikuta unatumia miaka 5 kuzifungua.Niko mwenyewe
Akki Mungu akusamehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha,kabisa Mkuu!aisee hii sredi ni ya kupunguza maumivu ya kukosa dhawadi za kufungua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pale nyuma kuna watu watatu yupi kati yao?
so funnyHahaha,kabisa Mkuu!
uhensam wote kwishaaa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimebadilika sana?
Sio mbaya, haya sasa rahisisha mawasiliano sirini na msubiri miujiza ndani ya saa 12.Nitakua na Shunie basi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sijajua kama meno yapo yote, maana nimepitisha ulimi nakutana na fizi tu!uhensam wote kwishaaa.
Kidogo ufanane na Pierre
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Chenga za Ronaldo.hahahaaa we chenga kweli
ππππππππ ukijiangalia kwenye kioo unajiskiaje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sijajua kama meno yapo yote, maana nimepitisha ulimi nakutana na fizi tu!
hapana za Boban
Kuona siwezi labda kesho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukijiangalia kwenye kioo unajiskiaje
Aisee sirudi kwenye hii threadKuona siwezi labda kesho.
Kwanini! [emoji15]Aisee sirudi kwenye hii thread
Hahaha hapa ndo nimethibitisha ile kauli ya "kuna uwezekano mkubwa wa mtu mwizi kuwa na mwonekano wa Mchina"